Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani ninampenda huyu binti,tatizo sijui ni woga au ndo nimempenda sana au swaga zinagoma au ndo udomo zege! Kwani kwa wasichana wengine siogopi ila huyu,dah hata kumsalimia najishtukia.Sijui nianzeje!
Ukikuwa utaacha..! Ila angalia ..!Jamani ninampenda huyu binti,tatizo sijui ni woga au ndo nimempenda sana au swaga zinagoma au ndo udomo zege! Kwani kwa wasichana wengine siogopi ila huyu,dah hata kumsalimia najishtukia.Sijui nianzeje!
I like your avatar.