Natafuta dawa za asili za kutibu wasiwasi

Tiba asili ni mazoezi ya mwili... Haya huongeza vichocheo vinavyofanya mtu ajihisi yuko fit, hufanya mtu ajiamini, hufanya mtu ajione yuko sawa na wengine sio inferior.
 
Its a psychological problem...haihitaji dawa za kunywa labda kibingwa bangi inaweza kutatua tatizo
Ni kweli Mimi kipindi nakula mmea mission nyingi impossible zilikuwa possible sasa toka niache hali ni tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…