Civilian One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 246
- 189
Umeshinda betiii nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itafikia mpaka umeze vingi zaidi ndio upate kulala eti,stress mbaya sanaaTrust me...unaanza na moja...but finally without 3 you can't sleep
Upo mkoa ganintaipataje bangi? na bangi sio addictive?
Ni kweli Mimi kipindi nakula mmea mission nyingi impossible zilikuwa possible sasa toka niache hali ni tofautiIts a psychological problem...haihitaji dawa za kunywa labda kibingwa bangi inaweza kutatua tatizo
Usinambie kama na wewe unatumia??Ukiitumia kama tiba hakuna shida kabisa...
yep more money more problemsBeti tena mkuu
Wasiwasi wako unaletwa na niniWakuu habari za mchana, kama nlivyoandika hapo juu natafuta tiba za asili muafaka za kutibu wasiwasi , je zinapatikana wapi?
Unataka bangi? Bangi sio mbadala wa kukutoa wasiwasi bali mpenzi/mume anauwezo wa kukujengea kujiamini na wasiwasi ukatoweka...ntaipataje bangi? na bangi sio addictive?
Tafuta bwana atakae kubadilisha hali yako sometimes upweke unapelekea kuwa hiviNimeomba sana mkuu
Utakua huna mchumba nahisi maana hii hali inawatokea watu wengi wanaokaa peke yao,Wasiwasi hasa nkiwa mbele za watu yaani huwa najihisi nakosa amani, smtimes hua najiskia kulia mbele za watu