mtageaugustine
Member
- Jan 12, 2015
- 67
- 59
Jamani mwenzenu nina meno kama sita hivi yametoboka na tayari nishang'oa manne kwa sababu tofauti tofauti.Mawili yalikuwa yameota vibaya na mawili yalikuwa yametoboka haswaa hata kuziba hayafai. So naombeni msaada wa dentist mzuri wa kuyakarabati na si kung'oa maana nitakuwa kibogoyo.