Natafuta dereva wa magari ya mzigo anayekwenda Kenya Nairobi

Natafuta dereva wa magari ya mzigo anayekwenda Kenya Nairobi

politicians

Senior Member
Joined
Apr 8, 2018
Posts
154
Reaction score
124
Habari wadau!, natafuta dereva wa magari ya mizigo anayekwenda kenya,ambaye anayeweza kunichukulia mzigo wangu kidogo kutoka nairobi kuleta Tz,anitext +255687234549,tutaelewana.
 
Habari wadau! natatafuta wajasiriamali wadogo wanaochukua mzigo kutoka Kenya Nairobi kuleta Tanzania,tubadilishane mawazo kidogo nicheki +255687234549.
 
Ukishindwa tumia wenye mabasi, kama mzigo sio mkubwa
 
Back
Top Bottom