SOKO LA MAGARI
Senior Member
- Oct 26, 2014
- 115
- 66
NATAFUTA DIAGNOSIS SOFTWARE/APPLICATION YA MAGARI YA KUTUMIA LAPTOP
Tafadhali naomba msaada kwa mwenye uzoefu au uwelewa namna
Tafadhali naomba msaada kwa mwenye uzoefu au uwelewa namna
- Kuitambua software inayofaa kwa mazingira yetu na aina ya magari tuliyonayo rahisi kujifunza na kuitumia, USER FRIEND
- Upatikanaji wa hiyo software au application ningependa kutumia laptop kwa kazi hiyo ikiwa na gargets zake zote.
- Magari ninayotegemea kuitumia ni ya japan Zaidi na 90% ni TOYOTA CARS 1995 Hadi 2016