Natafuta diagnosis software/application kutumia laptop

Natafuta diagnosis software/application kutumia laptop

SOKO LA MAGARI

Senior Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
115
Reaction score
66
NATAFUTA DIAGNOSIS SOFTWARE/APPLICATION YA MAGARI YA KUTUMIA LAPTOP

Tafadhali naomba msaada kwa mwenye uzoefu au uwelewa namna

  • Kuitambua software inayofaa kwa mazingira yetu na aina ya magari tuliyonayo rahisi kujifunza na kuitumia, USER FRIEND
  • Upatikanaji wa hiyo software au application ningependa kutumia laptop kwa kazi hiyo ikiwa na gargets zake zote.
  • Magari ninayotegemea kuitumia ni ya japan Zaidi na 90% ni TOYOTA CARS 1995 Hadi 2016
 
Upo wap nikuuzie mm ninayo inapima toyota tu..kuanzia 95 mpaka 2019 ni latest kabisa..inapima full system yan kila kinachostahili kupimwa kwa mashine kwenye toyota inapima
 
Upo wap nikuuzie mm ninayo inapima toyota tu..kuanzia 95 mpaka 2019 ni latest kabisa..inapima full system yan kila kinachostahili kupimwa kwa mashine kwenye toyota inapima
Weka picha mkuu na bei yake tafadhali, Mm nipo Dar - Kariakoo ni Inbox simu yako nakupigia sasa hivi
 
Back
Top Bottom