De panther
Member
- Jul 9, 2022
- 80
- 108
Ndiyo kiongoziunataka ulinunue...?
Sawa kiongoziSubiria wanaouza watakuja hapa mda siyo mrefu.
Nina ndugu yangu amesomeaawewe ni pharmacist...?
Ingekuwa DSM ningepata ya udalaliHabari wana JF,
Natafuta duka la dawa linalo uzwa
Ambalo lina kila kitu.
Location iwe center kidogo ambapo kuna mzunguko wa biashara.
Mkoa ni Mbeya pamoja na Songwe.
Mawasiliano;0757915171
Hahah!! Umalila lipo sehem gani mkuu??Sijui nikupe la umalila lile nililolinywa mpaka nimebakiza kondomu tu japo vibali viko sawa tu?
Ilembo ndugu yanguHahah!! Umalila lipo sehem gani mkuu??
Sawa mkuu naomba nicheki kwenye namba hiyo nimeweka hapo tuongeeIlembo ndugu yangu