Natafuta duka la vifaa vya maabara na kemikali Dar es salaam au Arusha

Natafuta duka la vifaa vya maabara na kemikali Dar es salaam au Arusha

kamandawasua

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Posts
326
Reaction score
86
Natafuta duka la vifaa vya maabara na kemikali Dar es salaam au Arusha.
Asante.
 
Nipo Sinoni
Anhaa kuna duka fulani lipo pale Soweto...upande wa huku barabara ya florida kama unapandisha kwenda mianzini mkono wa kulia...kuna barabara inaelekea kule Maezeki ilipokuwepo...hapa mwanzoni kuna duka linaitwa MARTY (E.A) CHEMICALS LIMITED KAJARIBU KUWAONA
 
Kuna dada mmoja anaitwa TINNA yupo opposite na stand ya Dar express..nimempendekeza yeye kwakua anauzoefu wa miaka mingi na hiyo biashara,zaidi ya miaka ishiririni hapo utapata vyote jaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom