kamandawasua
JF-Expert Member
- Jun 6, 2013
- 326
- 86
Natafuta duka la vifaa vya maabara na kemikali Dar es salaam au Arusha.
Asante.
Asante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo SinoniArusha upo maeneo yapi mkuu nikuelekeze
Anhaa kuna duka fulani lipo pale Soweto...upande wa huku barabara ya florida kama unapandisha kwenda mianzini mkono wa kulia...kuna barabara inaelekea kule Maezeki ilipokuwepo...hapa mwanzoni kuna duka linaitwa MARTY (E.A) CHEMICALS LIMITED KAJARIBU KUWAONANipo Sinoni
Ni duka hilo?Kuna dada mmoja anaitwa TINNA yupo opposite na stand ya Dar express..nimempendekeza yeye kwakua anauzoefu wa miaka mingi na hiyo biashara,zaidi ya miaka ishiririni hapo utapata vyote jaribu
Sent using Jamii Forums mobile app