Natafuta duka wanalouza masweta

Natafuta duka wanalouza masweta

scart

Senior Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
103
Reaction score
26
Habari.

Natafuta duka wanalouza masweta mazuri Dar. Ambaye anafahamu anijuze tafadhali.

Asante.
 
Na mimi natafuta masweta ya coogi hapa bongo, huwa siyaoni kabisa.
 
Natafuta vya hivi kwa Dar
1696842978.jpg
1230245371.jpg
 
Back
Top Bottom