Natafuta Elimu ya Privacy Laws Tanzania

Natafuta Elimu ya Privacy Laws Tanzania

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Leo nimeangalia video clip ya Zari the boss lady alipokuwa akifanya mapenzi na mchepuko wake mwingine, siyo Diamond. Zari mwenyewe kupitia ukurasa wake wa facebook aliandika kupinga sana kitendo hicho, lakini gazeti moja la udaku huko kwao Uganda limeshaandika habari hiyo na kuchapisha picha zake akiwa katika tendo la kujamiiana, na video yenyewe imekuwa inasambaa haraka sana kwenye mtandano hadi hata mimi nimeiona.

Miaka ya hivi karibuni imekuwa ni kawaida kwa magazeti ya udaku kudokoa habari za watu binafsi na kuziweka hadharani, mfano mwaka jana Gazeti la udaku Tanzania lilichokonoa mapenzi baina ya Diamond na Irene bila idhini yao wenyewe na kuchapisha hadharani habari hiyo, jambo lililovuruga sana uhusiano wa kindoa baina ya Irene na mme wake Kataut.

Kwa wanasheria, je kuna sheria yoyote Tanzaniua inayomlinda mtu binafsi ili video na picha zake zisitolewe hadharani bila idhini yake? Na kama ipo, je inafanyaje kazi iwapo picha na video inayoyolewa haina madhara yoyote lakini bado muhusika hapendi itolewe? Tusaidieni kabla hayajatukuta
 
Mi mbona nimeiona lakin kama vile alikuwa peke yake akitumia dilido.
 
Hakuna anayejua sheria zinazotawala privacy Tanzania? Nimeomba msaada wa elimu hiyo; wataalamu wa sheria ndio ninaoomba wachangie.
 
picha ukipiga mwenyewe kwa utashi wako hapo sheria haikulindi tena kibao kinaweza kukugeukia,ila ukipigwa bila utashi wako na mtu akaisambaza hapo unaclaim damage
 
ni marufuku kuingilia uhuru wa mtu kwa kipiga picha za siri, taarifa yoyote ya mtu binafsi kwani huu ni uzalishaji na uvunjaji wa haki za binadamu na claimant anaweza kupata remedy au accused kupata kifungo cha ndani
 
ni marufuku kuingilia uhuru wa mtu kwa kipiga picha za siri, taarifa yoyote ya mtu binafsi kwani huu ni na uvunjaji wa haki za binadamu na claimant anaweza kupata remedy au accused kupata kifungo cha ndani

Udhalilishaji
 
Back
Top Bottom