Natafuta eneo kwaajili ya mgahawa au M-Pesa. Mtaji laki tano tu

Natafuta eneo kwaajili ya mgahawa au M-Pesa. Mtaji laki tano tu

Gentleman96

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2019
Posts
912
Reaction score
1,670
Habari wakuu.

NATAFUTA ENEO KWA AJILI YA MGAHAWA AU M PESA MTAJI LAKI TANO TU. Nimehangaika sana hapa Dar sasa nimepata laki tano kama mtaji wa kuanza kufanya biashara ndogo ndogo kwa sababu njaa ni kali sana.

Hivyo nimefikiria kuanza biashara za migahawa, baba/mama lishe, m pesa au kuuza nguo za mitumba lakini sina sehem ya pango, sina kibanda, sina connections wala nini ni mimi ,laki tano na simu Yangu tu!
...
Kama kuna sehem naweza kupata eneo NAOMBA maelekezo lakini pia kama kuna kitu unaona ntakosea nipe USHAURI NIBADILI PLAN!
********
NIPO DAR KINONDONI (B)



IMG-20210620-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom