Natafuta Eneo la kuweka kibanda cha kuuzia biashara .. (juice na vyakula)

Natafuta Eneo la kuweka kibanda cha kuuzia biashara .. (juice na vyakula)

nirahbee

Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
6
Reaction score
3
Habarini wapendwa,natafuta sehem ambayo naweza lipia kwa kuweka kibanda changu cha biashara,lakini liwe eneo lenye watu na lenye biashara na liwe dar es salaam ! Nitashukuru,mwenye idea pls contact me ! [emoji120]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom