Natafuta eneo la wazi liwe mafinga mjini,au kinyanambo b

Natafuta eneo la wazi liwe mafinga mjini,au kinyanambo b

Mrekebishaji

Senior Member
Joined
Mar 19, 2009
Posts
168
Reaction score
63
Kuna mradi nataka kufanya Mafinga mjini. Nina omba yafuatayo,

1. Kupata mtu mwenye eneo/uwanja niweze kukodi kwa miaka miwili tu
2. Kama kuna mtu anapangisha jengo kubwa linalofaa kwa ajili ya madarasa
3. Kama una ndugu yangu mwenyeju pale mafinga nitashukuru kuunganishwa naye.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom