Alvin John
Member
- Mar 27, 2018
- 56
- 25
Natumai mmeshinda salama wakubwa! Nategemea kuanzisha biashara ya vyakula/mgahawa hivi karibuni ila bado sijapata eneo zuri la kufanyia biashara hiyo.. Nimeonyeshwa bar moja ipo sinza inaitwa Facebook na kodi ni Tsh.10,000 per day ila inaonekana sio mahala pazuri maana ipo opposite na Lachaaz bar! Hivyo kwa yeyote anayefahamu eneo zuri linalokodishwa anijulishe tafadhali ila napendelea zaidi kupata sehemu za bar na iwe maeneo ya sinza, ubungo au mwenge..
Nitamlipa yeyote atakaenitafutia eneo zuri, asante.
Nitamlipa yeyote atakaenitafutia eneo zuri, asante.