Natafuta eneo zuri (jiko) la kufanyia biashara ya vyakula - Restaurant

Alvin John

Member
Joined
Mar 27, 2018
Posts
56
Reaction score
25
Natumai mmeshinda salama wakubwa! Nategemea kuanzisha biashara ya vyakula/mgahawa hivi karibuni ila bado sijapata eneo zuri la kufanyia biashara hiyo.. Nimeonyeshwa bar moja ipo sinza inaitwa Facebook na kodi ni Tsh.10,000 per day ila inaonekana sio mahala pazuri maana ipo opposite na Lachaaz bar! Hivyo kwa yeyote anayefahamu eneo zuri linalokodishwa anijulishe tafadhali ila napendelea zaidi kupata sehemu za bar na iwe maeneo ya sinza, ubungo au mwenge..

Nitamlipa yeyote atakaenitafutia eneo zuri, asante.
 
Njoo pm mkuu haraka sana..!!
 
Makumbusho hutaki
 
Hii biashara ikipata msimamiz mzur
Inalipa sana
 
Tabata je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…