Natafuta eneo zuri (jiko) la kufanyia biashara ya vyakula - Restaurant

me pia ninatafta sana sehem kwa ajili ya biashara yangu ya restaurant jaman wataftaji wenzangu naomba unitxt pm kama ukiipata..
bajet yangu ni laki mbili hadi laki tatu.. kwahyo sehem iwe very good
 
me pia ninatafta sana sehem kwa ajili ya biashara yangu ya restaurant jaman wataftaji wenzangu naomba unitxt pm kama ukiipata..
bajet yangu ni laki mbili hadi laki tatu.. kwahyo sehem iwe very good

Ya kumpa mtafutaji shingapi
 
Hii biashara naipenda sana, kumbe kuna uwezekano nikaamua kukodi eneo tu bila kununa mavifaa yote maana mtaji wangu uko limited
 
Hii biashara naipenda sana, kumbe kuna uwezekano nikaamua kukodi eneo tu bila kununa mavifaa yote maana mtaji wangu uko limited
binafsi cjawaza hzo sehem zenye vifaa kabsa ila kama zipo nayo ni flesh kabsaaa inapunguza usumbufu
 
Hii biashara ukitaka ufanikiwe usingizi usiupe kipaumbele katika maisha yako
Uwe na kagari ka kumpeleka from point A to B

Utaenda machinjioni alfajiri na saa kumi nambili asubuhi supu ya ulimi iwe inachemka

Uwe na mpishi wa chapati na baada ya machinjio uwahi Mahakama ya ndizi kwa mtori
 
Kama ku sacrifice usingizi kunalipa mbona unaamka tu, wabongo muda mwingi huwa tunapotezea katika simu zetu ila tukiutumia kwa vitu productive mbona maisha yanakuwa safi tu! Cha msingi unakutana na hela katika ulifanyalo!
 
Kama ku sacrifice usingizi kunalipa mbona unaamka tu, huu muda unaopoteaga jf tukiutumia kwa vitu productive mbona maisha yanakuwa safi tu! Cha msingi unakutana na hela tu
Yaani sasa ukimaliza breakfast uwe na menu ya lunch, ugali kuku majani ya maboga, wali maharage na ndizi nyama.

Jioni nyama choma, supu mpaka saa sita. Ukibeeb tu kitanda muda wa machinjioni
 
Yawning sasa ukimaliza breakfast uwe na menu ya lunch, ugali kuku mahari ya maboga, wali maharage na ndizi nyama.

Jioni nyama choma, supu mpaka saa sita. Ukibeeb tu kitanda muda wa machinjioni
hahahah ila utalifanya kwa muda tu, ukisha master vizuri unaanza kuwalaza macho vijakazi
 
Hii biashara sio rahisi kihivyo inahitaji ku pull soksi.

Wateja wa chakula na pombe wana tabia ya kula walipopazoea na wanajihisi huru kabisa wakiwa wapo walipopazoea.

Inahitaji uvumilivu wa hali ya juu kipindi unaanza kulaza vyakula na kesho kupika kingine na kukilaza tena.

Ila ukishavumilia ukaingia kwenye reli ukazoeleka umeenda.

Wapemba wanaiweza saana. Kuna mpemba pale gongo la mboto nilikuwa natoka mbali naenda kula kwake jioni...sijui yule jamaa anaweka nini chipsi zake na juisi
 
Pia kuna watakaokula kwa mkopo uuwafahamu mwisho wa mwezi wanalipa hasa kwa ma batchelor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…