Natafuta eneo zuri la kufanyia Biashara ya Uwakala wa Tigopesa, Mpesa, Airtel Money

Natafuta eneo zuri la kufanyia Biashara ya Uwakala wa Tigopesa, Mpesa, Airtel Money

Denjo

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2014
Posts
359
Reaction score
118
Habari zenu wadau.

Mie ni mwanafunzi wa chuo hapa Dar najishughulisha na biashara za Mpesa, Tigopesa na Airtel money, nina jumla ya mtaji wa 3,205,000 pesa ya kuzungushia pamoja na assets (vitendea kazi).

Sehemu ninayotafutia riziki na chochote ili nijikimu na maisha ya chuo biashara hio haina Kiki.

Ninachoomba msaada wa mtu kama ana location nzuri ambayo nikiii-instal nitafaidika na kile nnachokifanya. Kwa maana nikiendea na hapo mtaji utayumba halafu nitakua na wakati mgumu bado nina safari ndefu.

Natanguliza shukrani kwa yeyote atakae penda kunipa mawazo together we can ndugu zangu.
 
Nipigie 0714064767 tuongee kuhusu sehemu ya biashara, nipo Dar maeneo ya karibu na Chuo
 
Back
Top Bottom