Habari zenu wadau.
Mie ni mwanafunzi wa chuo hapa Dar najishughulisha na biashara za Mpesa, Tigopesa na Airtel money, nina jumla ya mtaji wa 3,205,000 pesa ya kuzungushia pamoja na assets (vitendea kazi).
Sehemu ninayotafutia riziki na chochote ili nijikimu na maisha ya chuo biashara hio haina Kiki.
Ninachoomba msaada wa mtu kama ana location nzuri ambayo nikiii-instal nitafaidika na kile nnachokifanya. Kwa maana nikiendea na hapo mtaji utayumba halafu nitakua na wakati mgumu bado nina safari ndefu.
Natanguliza shukrani kwa yeyote atakae penda kunipa mawazo together we can ndugu zangu.