Natafuta eneo zuri la kujenga Mwanza

Natafuta eneo zuri la kujenga Mwanza

luis diaz

Member
Joined
Feb 28, 2022
Posts
86
Reaction score
208
Habari wana JF

Naomba kwa wenyeji wanisaidie ni eneo gani zuri na halina mawe la kuweza kujenga Mwanza?
 
Mkuu Kuna nyumba inauzwa hapa kishiri mwenyewe anahitaji kurudi shamba upepo wa mjini umemuendea vibaya.
Ila Kama unataka kujenga mza pasipo na mawe sehemu zipo nyingi mno like malaika road,nyakato sokoni,nation, igoma,nyashishi,buhongwa, nyamhongolo, buswelu,mwanza town hapo Uhuru waweza nunua nyumba za 1960 ukaweka kitu modern Ni wewe na mfuko wako chaguzi kwako mkuu
 
Kununua nyumba hapana mkuu,,,,,nimeambiwa usagara pia kuna maeneo je pako vizuri pia?
 
kununua nyumba hapana mkuu,,,,,nimeambiwa usagara pia kuna maeneo je pako vizuri pia?
Kisesa, usagara nyashishi zote ni miji mipya na unapata access ya barabara. Umeme upo barabara kuu, maji ndo kazi. Maana makazi si mengi Sana. Sasa inategemea na eneo lako la kazi lilipo.
 
Shukrani kaka
 
Back
Top Bottom