Mr. madevu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2013
- 432
- 75
Tafadhali kwa anaejua duka ninaloweza kupata printer ya epson px660 naomba anijulishe pamoja na bei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Offtopic!Tafadhali kwa anaejua duka ninaloweza kupata printer ya epson px660 naomba anijulisha pamoja na bei.
Offtopic!
- Badala ya kutafuta Epson PX660​
![]()
- Tafuta hii Epson L800
Sababu![]()
Upatikanaji
- Epson PX660 haina mitungi ya nje ukilinganisha na L800 yenye mitungi ya nje ya kuwekea wino
- Hivyo katika gharama za uendeshaji kama utakuwa na kazi nyingi Epson L800 itakuletea faida kubwa ukilinganisha na Epson PX660 ukilinganisha na ghalama ya wino utakao tumia.
- Ukishidwa kupata Dar es Salaam au Arusha, Itabidi ufanye order online
Upatikanaji
- Epson PX660 haina mitungi ya nje ukilinganisha na L800 yenye mitungi ya nje ya kuwekea wino
- Hivyo katika gharama za uendeshaji kama utakuwa na kazi nyingi Epson L800 itakuletea faida kubwa ukilinganisha na Epson PX660 ukilinganisha na ghalama ya wino utakao tumia.
- Ukishidwa kupata Dar es Salaam au Arusha, Itabidi ufanye order online
Kwa wadau ambao wameshatumia sana hizi printer ukilinganisha na series nyingi sana epson p660 na epson p50 zilikuwa mashine nzuri sana zenye kuhimili kishindo.., na suala la wino wa nje CISS (continous ink supply) third party wanawekea hizo epson p660 na p50
Tukirudi kwa mwenye swali ni kwamba epson hawatoi tena hilo toleo wameshaamia kwenye matoleo mengine ambayo hata bei zake kwa huko sio economical kama ilivyokuwa epson p660 na p50..., anyway hata ukipata epson p660 we nunua hata kama ni refurbished sababu ishakuwa tested vya kutosha huku kwetu.., haya matoleo mapya mengine kama hujui mtu aliyeshanunua na kutumia huenda yana ugonjwa fulani au usumbufu ambao can only be known through experience
hiyo epson l800 iko poa sana nimenunua wiki iliyopita, bei ni kuanzia 750,000. unaweza ipata posta karibu na askari monument baada ya duka la sapna, au masumin stationary ya post, au karibu na kilipokuwa kituo cha mabasi ya mkoani kisutu fuata hiyo barabara kama unaenda mtaa wa samora kuna duka wanauza hapo upande wa kushoto
Asante kiongozi, je unaweza nipatia hio p660 hata kama ni used?
Nipe offer yako ya px660 nikupatie iko katika hali nzuri haijatumika hapa,
Niko nayo mpya kabisa nilinunua nairobi kwa mazumuni ya kuanzisha studio lakini baadae nikahamua kufungua mgahawa nikaacha na mpango wa kufungua photo studio ninaiuza laki sita na kumi niko Moshi mkoani klm
Moshi maeneo gani kaka? Ili nikutafute maana hata mm niko around Moshi.
nitafute kwa 0762930549 or 0767012677
Asante sana mkuu kwa ushauri, unaweza nijulisha Arusha au Dar naweza pata sehemu gani? Na bei inauzwa bei gani?
NAIROBI ndo mpango mzima
Tafadhali kwa anaejua duka ninaloweza kupata printer ya epson px660 naomba anijulisha pamoja na bei.
Asante sana mkuu kwa ushauri, unaweza nijulisha Arusha au Dar naweza pata sehemu gani? Na bei inauzwa bei gani?
Mimi nimenunua kwa mtu hivyo hivyo nje zaidi sijui kwa kweli kitu.Ulishawekea continous ink system?
Nairobi hakuna tena hizo.NAIROBI ndo mpango mzima