Za siku nzuri mkuu, i hope uko salama pia, and thanks nitafatilia nione , ni maeneo gani kule keko mkuu? ni jirani kabisa na VETA?Pole sana dada ,mara ya mwisho kuna duka la vifaa vya macho likiwepo hapo VETA _ keko sasa sijui mpaka sasa kama lipo ni hapo jamaa alikuwa anauza hizo eye pitch .
Lakini za siku nyingi dada
Kwani kuvaa miwani Black kuna shida gani ...anatengeneza tu miwani mbili moja Black to black anatumia mchana na moja Black white anatumia usikuWakuu habari zenu. Natafuta eye patch nimpatie kijana alitolewa jicho moja hospital alichomwa bisibisi na vibaka limeondolewa, wapi zinapatikana kirahisi.View attachment 3259698
Ilikuwa karibu na VETA pale ,upande wa pili kama unataka kuelekea kilipo kiwanda cha CelloZa siku nzuri mkuu, i hope uko salama pia, and thanks nitafatilia nione , ni maeneo gani kule keko mkuu? ni jirani kabisa na VETA?
OoohWakuu habari zenu. Natafuta eye patch nimpatie kijana alitolewa jicho moja hospital alichomwa bisibisi na vibaka limeondolewa, wapi zinapatikana kirahisi.
View attachment 3259698
Napokeaok ubarikiwe mkuu