Natafuta Eye patch, zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?

Natafuta Eye patch, zinapatikana wapi kwa Dar es Salaam?

buswagg

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2023
Posts
728
Reaction score
1,352
Wakuu habari zenu. Natafuta eye patch nimpatie kijana alitolewa jicho moja hospital alichomwa bisibisi na vibaka limeondolewa, wapi zinapatikana kirahisi.

images%20(1).jpg
 
Pole sana dada ,mara ya mwisho kuna duka la vifaa vya macho likiwepo hapo VETA _ keko sasa sijui mpaka sasa kama lipo ni hapo jamaa alikuwa anauza hizo eye pitch .

Lakini za siku nyingi dada
Za siku nzuri mkuu, i hope uko salama pia, and thanks nitafatilia nione , ni maeneo gani kule keko mkuu? ni jirani kabisa na VETA?
 
Wakuu habari zenu. Natafuta eye patch nimpatie kijana alitolewa jicho moja hospital alichomwa bisibisi na vibaka limeondolewa, wapi zinapatikana kirahisi.View attachment 3259698
Kwani kuvaa miwani Black kuna shida gani ...anatengeneza tu miwani mbili moja Black to black anatumia mchana na moja Black white anatumia usiku
 
Za siku nzuri mkuu, i hope uko salama pia, and thanks nitafatilia nione , ni maeneo gani kule keko mkuu? ni jirani kabisa na VETA?
Ilikuwa karibu na VETA pale ,upande wa pili kama unataka kuelekea kilipo kiwanda cha Cello
Mimi ni mzima na niko salama
 
Kwani kuvaa miwani Black kuna shida gani ...anatengeneza tu miwani mbili moja Black to black anatumia mchana na moja Black white anatumia usiku
ni mwanafunzi bado, yuko high school now, mambo ya miwani not for now mkuu, but thanks
 
Back
Top Bottom