NATAFUTA FAMILIA YA MWALIMU WANGU.

NATAFUTA FAMILIA YA MWALIMU WANGU.

wakumwaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2018
Posts
579
Reaction score
425
Mimi naitafuta familia ya mwalimu wangu aliyekua akiitwa Peter mbeu magesa alifariki mwaka 2008 akiwa ni mwalimu shule moja huku babati manyara ,na kwenda kuzikwa kwao Musoma vijijini. Na baada ya mazishi ile familia haikurudi tena babati .nimeitafuta familia yake yaan mke wake,watot wake muda mrefu walau niwajulie hali zao paspo mafanikio .kama kuna mtu anaijua hii familia au mwenye taarifa nayo naomba ani pm tafadhali Sana.
 
Nyoosha maneno.................
 
Aisee h....ni.. primary school
 
Back
Top Bottom