Natafuta Feni nzuri na bora ya Darini

Natafuta Feni nzuri na bora ya Darini

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Wadau nahitaji feni nzuri kubwa 56" at least ya darini yenye upepo mwingi but isiwe na kelele nyingi.

Budget tsh 100, 000 isizidi hapo kwa moja.

Nami nahitaji mbili zinazodumu
 
Wewe unaonekana mtaalamu sana..
Nahitaji Tv nzuri pia..Ushauri wako naomba...
Haa mkuu me siyo mtaalamu sana ni mtumiaji tu
Ila kwa TV kama huko vizuri nenda na SAMSUNG SONY au LG

ila kama UCHUMI wa kati aghalabu basi tafuta brand za TCL HINSENSE SINGSUNG SKYWOTH

Achana na hayo mengine kina ABRODER ALITOP nk hata wakikuambia ni double screen wapotezee tu tafuta hizo
 
Hii umegonga palepale[emoji3][emoji3]
 
Haa mkuu me siyo mtaalamu sana ni mtumiaji tu
Ila kwa TV kama huko vizuri nenda na SAMSUNG SONY au LG

ila kama UCHUMI wa kati aghalabu basi tafuta brand za TCL HINSENSE SINGSUNG SKYWOTH

Achana na hayo mengine kina ABRODER ALITOP nk hata wakikuambia ni double screen wapotezee tu tafuta hizo
Nashukuru sijaona umeiponda Hisence yangu, pangechimbika
 
Mkuu naomba hii tenda. Nakuletea feni zako zote mbili mpaka mlangoni kwako kama upo Dar na hata kama upo mkoani nitakutumia.

Kuhusu quality, siku zote kuna kuwepo na sababu ya msingi ya kwanini bidhaa mbili zenye kufanya kazi moja lakini zinatofautiana bei. Kwa feni (pangaboi), Panasonic is the best one you could wish for.
 
Mlangoni pangu hapana. Siruhusu mtu wa jamiiforums apafahamu. Niambie wewe unapatikana wapi. Unazo aina gani na unauza tsh ngapi?
 
😄😅😂😁😁😅😅😄😄😄😆😁😀😁😁😁Acha Tuje Na Panasonic Wewe Mkuu
Nina mbwa wakali sana. Huwa staki kesi na hata majirani wanajua hawasogei kwangu
 
Back
Top Bottom