Natafuta Feni nzuri na bora ya Darini

Natafuta Feni nzuri na bora ya Darini

Nashukuru sijaona umeiponda Hisence yangu, pangechimbika
Ukiona KAMPUNI kkoo inatolewa COPY yake yaani ipo FAKE yake basi ujue hiyo kampuni ina STANDARD za kimataifa
Ukitaka NUNUA ukiona bei kubwa nenda kanununue ALITOP na ABRODER inch 32" mpk 180000/= unapata tena wamekuwekea DOUBLE SCREEN(screen protector) ushindwe wewe tuu
 
RSUK nilizi underrate kumbe ziko vizuri halafu bei ni poa haziko noisy.Panasonic inadumu zaidi,ufungaji unaweza kuchangia kelele.

You are correct, mafundi makanjanja wanachangia ubovu wa vifaa, wengi mafundi njaa hawajui kufunga wanabahatisha hivyo kupelekea kelele za fan, RSUK zipo vizuri mwaka wa pili natumia hazijawahi kunisumbua.
 
Funga yoyote ikianza kelele niite niipige gris ndo kugawana rizik huko
 
Back
Top Bottom