Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Wewe unaonekana mtaalamu sana..Ongeza ela nenda kkoo kwenye maduka ya vifaa vya umeme(maduka ya wahindi)
Nunua PANASONIC utanishukuru
We tafuta PANASONIC achana na hayo mengine hata wakueleze vipi wewe sema unataka PANASONIC tu
Haa mkuu me siyo mtaalamu sana ni mtumiaji tuWewe unaonekana mtaalamu sana..
Nahitaji Tv nzuri pia..Ushauri wako naomba...
Haa mkuu me siyo mtaalamu sana ni mtumiaji tu
Ila kwa TV kama huko vizuri nenda na SAMSUNG SONY au LG
ila kama UCHUMI wa kati aghalabu basi tafuta brand za TCL HINSENSE SINGSUNG SKYWOTH
Achana na hayo mengine kina ABRODER ALITOP nk hata wakikuambia ni double screen wapotezee tu tafuta hizo
Nashukuru sijaona umeiponda Hisence yangu, pangechimbikaHaa mkuu me siyo mtaalamu sana ni mtumiaji tu
Ila kwa TV kama huko vizuri nenda na SAMSUNG SONY au LG
ila kama UCHUMI wa kati aghalabu basi tafuta brand za TCL HINSENSE SINGSUNG SKYWOTH
Achana na hayo mengine kina ABRODER ALITOP nk hata wakikuambia ni double screen wapotezee tu tafuta hizo
Nchek +255 719 07 32 06 nimalize tatizo lakoWadau nahitaji feni nzuri kubwa 56" at least ya darini yenye upepo mwingi but isiwe na kelele nyingi.
Budget tsh 100, 000 isizidi hapo kwa moja.
Nami nahitaji mbili zinazodumu
Panasonic is overated ila bei yake ni 125k ,Usher nazo ni nzuri 85k au RSUK 65k nazo zinapiga kazi vizuri tu zote hizo ni 56".
Mlangoni pangu hapana. Siruhusu mtu wa jamiiforums apafahamu. Niambie wewe unapatikana wapi. Unazo aina gani na unauza tsh ngapi?Mkuu naomba hii tenda. Nakuletea feni zako zote mbili mpaka mlangoni kwako kama upo Dar na hata kama upo mkoani nitakutumia.
Kuhusu quality, siku zote kuna kuwepo na sababu ya msingi ya kwanini bidhaa mbili zenye kufanya kazi moja lakini zinatofautiana bei. Kwa feni (pangaboi), Panasonic is the best one you could wish for.
Umemwaga Nondo Jamaa Ataanza Kula Upepo Ndani Mpaka Mwingine Atauza Kwa MajiraniPanasonic is overated ila bei yake ni 125k ,Usher nazo ni nzuri 85k au RSUK 65k nazo zinapiga kazi vizuri tu zote hizo ni 56".
ππ ππππ π πππππππππAcha Tuje Na Panasonic Wewe MkuuMlangoni pangu hapana. Siruhusu mtu wa jamiiforums apafahamu. Niambie wewe unapatikana wapi. Unazo aina gani na unauza tsh ngapi?
Usher huwa zinapiga kelele sana.... Nimewahi ziona guest house zimefungwa. Kelele zake balaaa. Nahitaji ambazo hazina kelele sana.Panasonic is overated ila bei yake ni 125k ,Usher nazo ni nzuri 85k au RSUK 65k nazo zinapiga kazi vizuri tu zote hizo ni 56".
Nina mbwa wakali sana. Huwa staki kesi na hata majirani wanajua hawasogei kwanguππ ππππ π πππππππππAcha Tuje Na Panasonic Wewe Mkuu