M michaelmgerwa Member Joined Sep 7, 2014 Posts 24 Reaction score 6 Nov 5, 2014 #1 Hi wana JF naomba mnisaidie sehemu ya kufanya field ninasoma certificate ya IT TPSC college ndugu zangu nimekwama.
Hi wana JF naomba mnisaidie sehemu ya kufanya field ninasoma certificate ya IT TPSC college ndugu zangu nimekwama.
KAGAMEE JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 4,457 Reaction score 5,454 Nov 6, 2014 #2 michaelmgerwa said: Hi wana JF naomba mnisaidie sehemu ya kufanya field ninasoma certificate ya IT TPSC college ndugu zangu nimekwama. Click to expand... Angalia hata vitu vya kusomea mdogo wangu,sasa kama field tu inakusumbua vp ajira?
michaelmgerwa said: Hi wana JF naomba mnisaidie sehemu ya kufanya field ninasoma certificate ya IT TPSC college ndugu zangu nimekwama. Click to expand... Angalia hata vitu vya kusomea mdogo wangu,sasa kama field tu inakusumbua vp ajira?
Idd Omary JF-Expert Member Joined Aug 11, 2013 Posts 250 Reaction score 37 Nov 6, 2014 #3 Don giv up! Coz yako inasehem nyingi sana inahitajika mf : network and information transport! Hii ni kwa wale wanatumia mitandao ya kielekronik kumanage magari yao kama bakhressa!!
Don giv up! Coz yako inasehem nyingi sana inahitajika mf : network and information transport! Hii ni kwa wale wanatumia mitandao ya kielekronik kumanage magari yao kama bakhressa!!
E Edwin mkw JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 544 Reaction score 119 Nov 8, 2014 #4 KAGAMEE said: Angalia hata vitu vya kusomea mdogo wangu,sasa kama field tu inakusumbua vp ajira? Click to expand... Mh! Hilo nalo neno.
KAGAMEE said: Angalia hata vitu vya kusomea mdogo wangu,sasa kama field tu inakusumbua vp ajira? Click to expand... Mh! Hilo nalo neno.