Natafuta field, naomba mnisaidie

Natafuta field, naomba mnisaidie

michaelmgerwa

Member
Joined
Sep 7, 2014
Posts
24
Reaction score
6
Hi wana JF naomba mnisaidie sehemu ya kufanya field ninasoma certificate ya IT TPSC college ndugu zangu nimekwama.
 
Hi wana JF naomba mnisaidie sehemu ya kufanya field ninasoma certificate ya IT TPSC college ndugu zangu nimekwama.

Angalia hata vitu vya kusomea mdogo wangu,sasa kama field tu inakusumbua vp ajira?
 
Don giv up! Coz yako inasehem nyingi sana inahitajika mf : network and information transport! Hii ni kwa wale wanatumia mitandao ya kielekronik kumanage magari yao kama bakhressa!!
 
Back
Top Bottom