new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 817
- 1,687
Help
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi ni second year student katika chuo cha IFM [institute of finance management], taking bachelor of banking and finance, natafuta field kwenye benki yeyote iliyo hapa Dar au Mwanza, resuls zangu first year was GPA of 4.0, please people am serious on the issue.
Acha ujivuni wewe,GPA unaweka hili iweje? Field wanafunzi wote wanapata hata ukipata 2.1 kama ya __________,acha ujivuni huo,hayo mambo yapo CoET.
hawa crdb wezi wa watupu gpa na field wapi na wapi......ngoja ntakuulizia benki ya nbc.....wana tawi jipya mbezi beach ntakuchekia huwa naendaga sana palehuwez amini nina jamaa yangu amepeleka barua ya kuomba field pale CRDB huwezi amini wamemtolea nje, wamedai wana anza kuchukua kuanzia 3.5, kwahiyo usinielewe vibaya jamani!!,lakini pia kama nimewakwaza niweni radhi!!!, ila palipo na uwezekano naomba msaada juu ya ombi langu kwa mtu alie tayari kunisaidia.
hawa crdb wezi wa watupu gpa na field wapi na wapi......ngoja ntakuulizia benki ya nbc.....wana tawi jipya mbezi beach ntakuchekia huwa naendaga sana pale