Natafuta fild

Natafuta fild

Play boy

Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
28
Reaction score
4
Natafuta fild ya clearing and forwarding kwa kampuni yoyote inayohusiana na mambo ya clearing na forwarding.
 
Ur not serious!Kawape taarifa wa2 wa facebook watakusaidia au watafute wapare wengi wana hzo kampuni!
 
Nenda TRA Long Room utakutana na players wengi kwenye hiyo field wanaweza kukusaidia.
 
kuna makampuni unaweza kuomba. acon, sai(hawa ni consolated),sai express, simba, fafu, jogoo, shiba, janda, binamungu, quality express. nenda pale station ofisi za tra asubuhi utawakuta. ulizia yoyote mtu anayefanyia kazi moja ya hizo kampuni lazima umpate. au nenda pale waf bandarini.
 
natafuta fild ya clearing and forwarding kwa kampuni yoyote inayohusiana na mambo ya clearing na forwarding.
mkuu ningekupigia pande lakini nikifikialia hiyo office ndio tu nimemfungulia wife na hilo jina lako napata utata kabisa,mwili unapenda ila roho inasita,sijui kwanini umejiita play boy!!
 
Back
Top Bottom