Toa maelezo zaidi kuhusu hiyo laptop na Camera yako ili uweze kusaidiwa. Tuambie laptop kama ina uwezo wa kupokea "card bus" au usb only au SD cards etc pia kwa hiyo camera yako ina pokea nini kama ni firewire only au usb etc. Wana JF watakutasaidia, hawashindwi na lolote.
Angalia hii link jee kifaa hiki kinafaa? 2 x FireWire / 1 x USB Port Express CardBus : Express Card : Maplin