Natafuta firewire card kwa ajili ya laptop

Natafuta firewire card kwa ajili ya laptop

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Wakubwa,narudia tena kuomba mtu mwenye kujua namna ninavyoweza kuingiza picha za video kwenye laptop ambayo haina firewire pin.

Nimeanagaika sana kwani computer yangu ni latest lakini aina option ya kuingiza picha za video direct kutoka kwenye digital video camera.

Naomba mwenye kujua namna ya kufanya anisaidie
 
you can buy a usb adapter that has a firewire port on it, or an express card module with firewire ports

as an example
http://www.geeks.com/details.asp?invtid=…

if you google usb to firewire, or firewire (card) adapter you may find the item you need

the link provided is not an endorsement, it is only to give an example of 1 of the solutions available

EDIT
the adapter would plug into the USB port, but consider that you would be plugging a Firewire into a USB, which would lower the speed of the Firewire to the USB transfer rate(usb 2.0 12mbps - firewire 1394 480mbps, unless your usb is 3.0 your talking a huge bottleneck in speed), to my knowledge only digital video can be transfered by adapting firewire to usb, so unless your device only has Firewire, or is used only for digital video, and you just dont have enough USB ports to go around, you wouldnt really gain anything, and you can just buy a USB hub for much, much less, if your just short on USB ports
 
Toa maelezo zaidi kuhusu hiyo laptop na Camera yako ili uweze kusaidiwa. Tuambie laptop kama ina uwezo wa kupokea "card bus" au usb only au SD cards etc pia kwa hiyo camera yako ina pokea nini kama ni firewire only au usb etc. Wana JF watakutasaidia, hawashindwi na lolote.
Angalia hii link jee kifaa hiki kinafaa?
2 x FireWire / 1 x USB Port Express CardBus : Express Card : Maplin
 
Toa maelezo zaidi kuhusu hiyo laptop na Camera yako ili uweze kusaidiwa. Tuambie laptop kama ina uwezo wa kupokea "card bus" au usb only au SD cards etc pia kwa hiyo camera yako ina pokea nini kama ni firewire only au usb etc. Wana JF watakutasaidia, hawashindwi na lolote.
Angalia hii link jee kifaa hiki kinafaa?
2 x FireWire / 1 x USB Port Express CardBus : Express Card : Maplin


Mkuu nashkuru lakini kifaa ninachoitaji ni Firewire notebook adapter (for a laptop), au kama unaweza kunisaidia namna ya kuipata hapa Bongo nijulishe.Nimeisoma kwenye mtandao huu. What is Firewire?
 
Kama unahitaji adaptor basi ni hiyo kama inavyoonyesha kwenye link niliyotoa. Wapi hapo Bongo inapatikana sijui, tusubiri wana-JF wasaidie. Lakini maduka ya computer ndio sehemu za kuanzia.... Kumbuka pia unahitaji na cable ya ku-conect firewire adapter to camera, kama 4pin to 4pin au 6pin to 4pin lead, itategemea hiyo cam yako pin ngapi na adapter yako pia, cable ipo kama link hii Firewire 400 4-pin to 4-pin Leads : Maplin Electronics
 
Back
Top Bottom