Natafuta flirting partner

Natafuta flirting partner

Soulbrother

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
405
Reaction score
17
Natafuta demu wa kuchat nae,sitaki kukutana nae face to face au kuwa na uhusiano wa kimapenzi.

nataka m2 (wa kike eh) charming wa kunipotezea mawazo. kama una interest, nitumie email au niadd kwenye msn yako. email yangu ni

nistori2@hotmail.com
 
ha hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. karibu. lakini kwani una mawazo gani?
 
Ishu ya ikulu na kuba*wa imetokea wapi, natafuta kampani tu kupitia mtandao... yaani am a cool dude tena hatuonani.
 
Ishu ya ikulu na kuba*wa imetokea wapi, natafuta kampani tu kupitia mtandao... yaani am a cool dude tena hatuonani.

Nikuulize kaka soulbrother, ina maana katika hiyo ishu ya kuflirt with a stranger hautajataka hata siku moja japo kwa dakika uonane na huyo flirting partner?
 
Mhh hii kali kuwasiliana bila kuonana...Kwanza unajuana nae huyo unayewasiliana nae??
 
Kuna mambo mawili hapo moja inawezekana jamaa hapo alipo KIRARU kimemshika muda umekuwa mwingi ,au la pili jamaa mdomo wake una ujauzito hawezi kufunguwa anapokutana nao mademu na lanyogeza inawezekana vile vile jamaa akawa ni Bi.coz he sound like one of them.
 
Nikuulize kaka soulbrother, ina maana katika hiyo ishu ya kuflirt with a stranger hautajataka hata siku moja japo kwa dakika uonane na huyo flirting partner?

Ukikutana naye itakuwa kasheshe, mainvoice mengi, labda hutampenda na blah blah nyingi... bora mtu utakayechat nae tu
 
Back
Top Bottom