mambo yanabadilika kijana form five kuna topic mechanics heat na wave, mechanics ina sub topic nyinng mwaka 2007/8 2likua 2nasoma kila sub topic sh 5000 mitaa ya mwenge hapo halafu heat na wave ni @sh 12000.. tafuta mwl then atakwambia bei
Kwa morogoro bei ilikuwa kama ifuatavyo
>Mechanics 5000/= @subtopic na jumla ziko 10.
>Heat Tsh 10000/=
>Wave Tsh 15000/=
But mambo yanabadilika maana hiyo ilikuwa 2008, eneo lilikuwa CCM mkoa.