natafuta form v tution ya physics

natafuta form v tution ya physics

Kama upo dar ni PM nitakufundisha pasipo malipo aina yoyote ile. Nipo vizuri kwenye topic za Umeme pamoja na mechanics
 
mambo yanabadilika kijana form five kuna topic mechanics heat na wave, mechanics ina sub topic nyinng mwaka 2007/8 2likua 2nasoma kila sub topic sh 5000 mitaa ya mwenge hapo halafu heat na wave ni @sh 12000.. tafuta mwl then atakwambia bei
 
Kwa morogoro bei ilikuwa kama ifuatavyo
>Mechanics 5000/= @subtopic na jumla ziko 10.
>Heat Tsh 10000/=
>Wave Tsh 15000/=
But mambo yanabadilika maana hiyo ilikuwa 2008, eneo lilikuwa CCM mkoa.
 
Back
Top Bottom