Natafuta frame au eneo la biashara kwa kuuzia chips

Tariq f

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2021
Posts
233
Reaction score
347
Hello JF,

Nahitaji kuanza mradi wa chipsi na nahitaji frame au eneo la biashara kwa ajili ya kuendesha mradi.

Nihitaji frame au eneo lililopo Dar na lililo changamka kwa ajili ya kuanzisha mradi huu.

Kama kuna mwenye nalo ni PM please.
 
Nitafute 0747848885
 
Back
Top Bottom