Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maneo gani unaitaji?Habari JF,
Natafuta frame maeneo ya Dar sehemu iliyo changamka. Nataka kutoa huduma ya ketengeneza kompyuta na kutengeneza simu. Mwenye nayo au mwenye ambaye anajua mtu mwenye frame tafadhari nisidie apo.
Ahsante.
40000 auwezi pata nilikua nakuchekia karikoo?Eneo gan mkuu
Habari JF,