May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Vibanda bado vinaruhusiwa huko?.Labd akaweke kibanda chake Sinza Vatican
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vibanda bado vinaruhusiwa huko?.Labd akaweke kibanda chake Sinza Vatican
Wanakubal ukiwa mtonyo watu wa serikal za mtaaVibanda bado vinaruhusiwa huko?.
Nitakuja kujaribu bahati yangu.Wanakubal ukiwa mtonyo watu wa serikal za mtaa
PoaNitakuja kujaribu bahati yangu.
Pandisha dau kdg walau ugote laki 2.5 ivi..nikusaidienimepandisha Dau 100,000-150,000 frame iwe sinza au makumbusho na sio lazima iwe main road lakini isiwe ndanii sana
Mamb vp wadau wa JF ,ebwana natafuta frame maeneo tajwa hapo juu kwa ajili ya kuanzisha duka la accesories ,frame ikiwa maeneo ya sinza au makumbusho itapendeza zaidi
frame iwe na kigai na gypsum yan inshort iwe frame imetulia ,isiwe kubwa sanaaa ,maana bado napambania
kodi kwa mwezi iwe 50,000-80,000
Dalali atakula 30 lakini [emoji120]
nipigie 0746751987
Hata mimi afu nikacheka tu naona alikuwa amelala huyu 😂Nikashtuka nilivyoona hiyo bei nkafikir kakosea kuandika[emoji28]
nimepandisha Dau 100,000-150,000 frame iwe sinza au makumbusho na sio lazima iwe main road lakini isiwe ndanii sana