Natafuta frem kwa ajili ya biashara ya stationery

Natafuta frem kwa ajili ya biashara ya stationery

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
589
Reaction score
278
Wadau habari za week end? Nipo dar natafuta frem kwa ajili ya biashara ya stationery bajeti isizidi laki 1 kwa mwezi, napenda maeneo ya Kinondoni, Kijitonyama, Sinza na maeneo ya karibu na sehemu hizo.

Mwenye kuwa nayo au alosikia tafadhali naomba ushirikiano wenu.

Cheers!
 
Back
Top Bottom