Natafuta fuel station za kukodi katika jiji la dar es salaam

damcon

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
214
Reaction score
72
Wakuu natafuta shell za kukodi katika jiji la dar es salaam,pls contact 0652715232.jitahidi uwe na uhakika na ownership
 
niaje mkuu? nimmekupata ntakupigua sim...kulikua na eneo mahali sijui kama bado lipo nngoja nilifatilie
 
Nenda kwenye makampuni ya mafuta wanavituo kibao tu pesa yako..
 
Nenda kwenye makampuni ya mafuta wanavituo kibao tu pesa yako..
mkuu pls nifafanulie vizuri,niko serious sana.au kama unaweza kunipa contact za mmoja wapo ninahitaji vituo 10 Dar es salaam.
 
Mungu saidia na mimi nifike kama hawa. maana napga kazi malipo ya tenda za gvt ni ngumu sana. kichefuchefu
 
Wakuu natafuta shell za
kukodi katika jiji la dar es salaam,pls contact 0652715232.jitahidi uwe
na uhakika na ownership
vipi umeshakamilisha idadi ya vituo unavyotaka?
 
kama upo serious nitafute kwa namba hii 0755371297 na
0714753579
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…