Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu pls nifafanulie vizuri,niko serious sana.au kama unaweza kunipa contact za mmoja wapo ninahitaji vituo 10 Dar es salaam.Nenda kwenye makampuni ya mafuta wanavituo kibao tu pesa yako..
Mungu saidia na mimi nifike kama hawa. maana napga kazi malipo ya tenda za gvt ni ngumu sana. kichefuchefu
vipi umeshakamilisha idadi ya vituo unavyotaka?Wakuu natafuta shell za
kukodi katika jiji la dar es salaam,pls contact 0652715232.jitahidi uwe
na uhakika na ownership