natafuta fundi bati na fundi welding kwa aajili ya madilisha uwe unatokea bunju au tegeta

natafuta fundi bati na fundi welding kwa aajili ya madilisha uwe unatokea bunju au tegeta

BOFREE

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
1,060
Reaction score
1,454
habari mtaalam wa kupau na mtaalam wa kuchomelea unaitajika uwe na ofisi bunju au tegeta uwe na kazi ambazo uliishawai kufanya naitaji fundi maiko sio kampuni na pia usiwe dalali uwe fundi mwenyewe wa bei iwe rafiki
 
Hongera Boss, ukifika kwenye aluminium na vioo, karibu Mbezi Aluminium and Glass, bei ni za kizalendo Sana. 0743664260
 
Back
Top Bottom