Natafuta Fundi ujenzi

BabyMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2017
Posts
315
Reaction score
511
Hello sweethearts.

Kama wewe Ni fundi ujenzi,au una idea na kujenga,Bei za vifaa,kiwanja etc..njoo tupige story

...Nina million tano hapa.
Naplan kiwanja Cha 15/20
Halafu fundi anijengee Apo kitu Cha kuishi [emoji174]

..Eneo ninalotaka Ni boma ng'ombe Moshi.
 
Mmh! Hiyo si ya fundi unataka kujenga nyumba ya aina gani? Kiwanja unacho? Au hiyo hiyo milioni 5 ni ya kiwanja pia
 
Bomang'ombe sehemu gani

Uzunguni
Mungushi
Kwa wasomali
St dorkas
Magadini
Zarau
Bolbiti
Mto sanya
 
Kwanini umeanza kutangaza bei, hiyo bajetiniwe siri yako. Ungetafuta fundi, ukampa mchoro, yeye ndio aseme sh ngapi kwa kazi hiyo..

Na hiyo 5 ndio kujenga boma tu ama na kupaua tu, ama kazi zooote.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…