Natafuta Fundi ujenzi

Natafuta Fundi ujenzi

Hello sweethearts.

Kama wewe Ni fundi ujenzi,au una idea na kujenga,Bei za vifaa,kiwanja etc..njoo tupige story

...Nina million tano hapa.
Naplan kiwanja Cha 15/20
Halafu fundi anijengee Apo kitu Cha kuishi [emoji174]

..Eneo ninalotaka Ni boma ng'ombe Moshi.
Mkuu sehem gan uzunguni,kingereka, barabara ya sanya,kwa wasomali,half London ebu sema ni wapi
Mi ni fundi nipo BOMA
 
Oyaaa,unastuka nin Sasa[emoji23][emoji23][emoji23] mi nakukabidhi m5 yote mkonon narud zangu nlikotoka[emoji23][emoji23][emoji23] nkirud Xmas ijayo unikabidhi Jambo langu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukiamua ikule
Nikabidhi mimi
 
Kuna jamaa alimjengea dem nyumba singida bila hela akapewa utam yakawa ndiyo malipo imeisha hiyo
Jamaa alikua analala kwa dem baadae akamtupia kibeg cha nguo nje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Room Moja hapana mbili inawezekana Kwa hiyo Hela!usi complicate sana paa liende juu sana!just normal!

Chumba self na sebule na kakenopy kadogo inawezekana!!
Asante namba moja, una mawazo ya kufariji sana[emoji3590] Kuna watu wananifanya nione 5 M Ni nothing,wabayaaaaa[emoji23]
 
Mkuu sehem gan uzunguni,kingereka, barabara ya sanya,kwa wasomali,half London ebu sema ni wapi
Mi ni fundi nipo BOMA
Niambie kwanza kwa 5 m kama ntatoboa[emoji29]
 
Asante namba moja, una mawazo ya kufariji sana[emoji3590] Kuna watu wananifanya nione 5 M Ni nothing,wabayaaaaa[emoji23]
Milion Moja kiwanja kidogo tu!million Moja ufyatuaji tofali mifuko 20 tofali 800, 40 Kila mfuko za inch tano!milion moja kujenga Hadi lenta!milioni Moja mbao na bati hapo maximum bati 22 plus mbao!fundi kupaua laki mbili!million Moja finishing!anzia chumba ca kulala halafu sebule simple ,ripu isizidi inch moja utatumia mifuko kama 10,madirisha simple chomelea gonga wavu wa mbu!

Nyumba ni self weka singbod chumbani kwanza!shimo la choo simple tu!!!milango simple!mengine pole pole hamia kabisa!!

Kwamimi Huwa najenga vyumba viwili na sebule kwa hiyo hela!!

Kama nilijenga ukumbi was mpira kwa million tatu hiyo sishindwi!!!
 
Hahaaa, Asante kwa ujumbe huu, nimeufurahia, na najua mwaka huu ntaufanyia kazi.Barikiwa sana,nakuombea upate deal kubwa kuliko Hilo la ukumbi[emoji3590]
.. kama upo moshi Basi nitakutafuta .
 
Hello sweethearts.

Kama wewe Ni fundi ujenzi,au una idea na kujenga,Bei za vifaa,kiwanja etc..njoo tupige story

...Nina million tano hapa.
Naplan kiwanja Cha 15/20
Halafu fundi anijengee Apo kitu Cha kuishi [emoji174]

..Eneo ninalotaka Ni boma ng'ombe Moshi.
Baby Mamy Salaam,nami nina uhitaji wa kununua Kiwanja maeneo hayo ya Bomang'ombe,naomba kama unamfahamu muuzaji yeyote binafsi unisaidie kuniunganisha nae,haya Makampuni yanayouza Viwanja yapo Bei juu sana,naomba uje PM kama una taarifa
 
Umejaribu Bei kwa kampuni ipi?na ilikua sh ngapi?
 
Back
Top Bottom