Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa dar es salaam, naomba kazi saidia fundi elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering)
Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi
Mawasiliano: 0756704145
Mungu aku bariki kila uingiapo na utokapo akupe kibari cha kukubalika akuondolee roho ya kukataliwa maneno ya kinywa chako ya kapate kibari kwa kila utakae mwambia kuhusu tatizo lako 🙏