Natafuta fundi wa helicopter

Natafuta fundi wa helicopter

zaitmemee

Senior Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
186
Reaction score
38
Rejea kichwa cha habari,
Aliyeko au anaejua wapi naweza mpata, ntashukuru sana. Kwani ndege hii inahitaji matengenezo
 
Daaa ebhana huku bongo ishu tena usijaribu mana walivyo kuwa wababaishaji watakudondosha hewani
 
Mcheki yule aliezindua helicopter yake siku ile ya mwenge mkuu!
 
Rejea kichwa cha habari,
Aliyeko au anaejua wapi naweza mpata, ntashukuru sana. Kwani ndege hii inahitaji matengenezo
kiongozi helicopter yako inasumbua kitu gani aise teh teh teh
 
Ungeweza wazi inasumbua nini ili tukusaidie. Kama inatoa moshi mwing,ina back fire,inachemsha au nini. Halafu ni aina gani maana kuna za aina na engine tofaut wengi wanalalamika sana kuwa zinakuwa hazipo stable angani au unakuta kama ina miss hivi. Matatizo yake kama hujapata fundi mzuri anaweza akakwambia plug hazichomi au kuna maji yameingia. We sema tatizo hedikopta yako inasumbua nini. Pia mkuu usisahau sevisi kila mara.
 
Umenikumbusha zamani, watu walikuwa wakisema hedikopta badala ya helikopta.
 
Hebu Weka IMEI NUMBERS Zake Ili Tujue Isije Ikawa TCRA Washaifungia.
 
Back
Top Bottom