kanyagio
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 1,021
- 366
MUHIMU:
ndugu wanabodi, nategemea kufungua photo studio size ya wastani. kwa sasa nataka kuanza kutengeneza ndani. kwa hiyo natafuta fundi atakayeweza kuni-design itakavyoonekana kwa ndani, aidha na kwa nje.. bajeti yangu si kubwa kwa hiyo natafuta mtu mwenye reasonable price.
studio itakuwa maeneo ya kijitonyama na ina vyumba viwili.
nataka mtu aweze kuleta design ambayo itavuta wateja hata kabla ya kuingia dani.
aidha kama kuna mpiga picha mzuri mwenye uzoefu pia wa kutumia photography software si vibaya kuwasiliana.
unaweza kuni-PM itakuwa rahisi kuona ujumbe.
natanguliza shukrani.
NB: kama kuna member anajua interior design websites nitashukuru akiweza ku-share!