natafuta fundi wa kufanya interior design ya photo studio kwa gharama nafuu

natafuta fundi wa kufanya interior design ya photo studio kwa gharama nafuu

kanyagio

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2009
Posts
1,021
Reaction score
366
MUHIMU:
ndugu wanabodi, nategemea kufungua photo studio size ya wastani. kwa sasa nataka kuanza kutengeneza ndani. kwa hiyo natafuta fundi atakayeweza kuni-design itakavyoonekana kwa ndani, aidha na kwa nje.. bajeti yangu si kubwa kwa hiyo natafuta mtu mwenye reasonable price.

studio itakuwa maeneo ya kijitonyama na ina vyumba viwili.

nataka mtu aweze kuleta design ambayo itavuta wateja hata kabla ya kuingia dani.

aidha kama kuna mpiga picha mzuri mwenye uzoefu pia wa kutumia photography software si vibaya kuwasiliana.

unaweza kuni-PM itakuwa rahisi kuona ujumbe.

natanguliza shukrani.

NB: kama kuna member anajua interior design websites nitashukuru akiweza ku-share!
 
Hata mimi natafuta interior designer kwa ajili ya living room yangu. Kama kuna mainterior designers wajitokeze
 
Mm na deal na design za recording studio,soundproof na pia tunatengeneza sofa za nyumbani na ofisini
 
Mm na deal na design za recording studio,soundproof na pia tunatengeneza sofa za nyumbani na ofisini

ahsate kwa kuuliza, nipo hapo makumbusho si mbali na ofisi za Tigo. nahitaji mtu aweze kufanya design ya hiyo PHOTO studio na sihiitaji iwe na sound proof.
 
mkuu kanyagio hongera kwa kufikia hatua nzuri za mradi. Unaweza kujaribu kutafuta sample designs online halafu wewe unamtafuta fundi wa kuitengeneza hiyo design ikiwa kumpata designer wa kufikiria design kuanzia mwanzo ni ngumu.

Mimi pia naipenda sana hiyo biashara sijapata wasaa tu wa kuianzisha kabisa, nimekuwa nikijaribu kupata dondoo katika ma-studio mbali mbali ili wakati nikiwa tayari nisipate taabu. Tuendelee kupeana update za maendeleo, ikiwa hutajali pia ningependa kujua roughly initial capital investment ina-range kiasi gani. Kilalakheir.
mediacity_uk_studio_interior.jpg

studio_l.jpg
photography-studio-design-ideas.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom